Umepoteza au umeokota kitu?
Ripoti itafika kwenye foleni binafsi ya Waziri na Naibu wa Ulinzi na super admin. Tunakusudia kutoa jibu la kwanza ndani ya saa 24; muda wa kupata kitu hutegemea uchunguzi.
Kwa tukio la haraka au hatari, wasiliana moja kwa moja na walinzi wa chuo. Fomu hii haiangaliwi kila dakika.
Maoni na mapendekezo kuhusu chuo
Chagua mwaka wako wa masomo. Mwaka wa kwanza unaweza kujaza mwenyewe kwa kuwa orodha yao bado haijawekwa.
Fuatilia ripoti au maoni yako
Utapewa namba ya kumbukumbu na msimbo wa siri baada ya kutuma. Vihifadhi; vinahitajika kuona majibu.
Chat ya wanafunzi
Group la maandishi ndani ya RUCUSO. Ingia kwa Google, omba kujiunga, kisha subiri ukaguzi. Majina yanayoonekana yatatumiwa kwenye group; email, reg. number na simu hazitaonyeshwa humo.
Tumia akaunti yako ya Google kuingia. Huhitaji kutengeneza password nyingine ya RUCUSO.