RUCUSO · MikopoRudi nyumbani
Wizara ya Mikopo na Uwezeshaji

Malipo ya mkopo bado Pending?

Kwa wanafunzi waliooneshwa cheque number lakini malipo bado yanaonesha pending: tuma taarifa zako kama sample ya kufuatiliwa na Wizara ya Mikopo.

Taarifa hizi zitaonekana kwa Waziri na Naibu wa Mikopo na super admin pekee. Hii ni fomu ya kukusanya taarifa; haithibitishi hali ya malipo na haihamishi fedha.

Inapakia fomu…